Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Story inasonga sana full kujadiliana laza ipo pale pale ndio mana wengne wana copy na kutumiana pm japo wanasem ya kutunga any way iwe ya ki utunzi iwe true whatever the case let's move on
 
Mimi sipo kwenye hilo swala sijui story ya kutunga au sio ya kutunga mimi hainihusu na hakuna mahala umeona nimesema sijui story imefanyaje ni wewe tu na HANG OVER ZAKO
#FOOLISH AGE
Mhhhh Jamatini kaingia golo asiekuwemo haingii
 
Story inasonga sana full kujadiliana laza ipo pale pale ndio mana wengne wana copy na kutumiana pm japo wanasem ya kutunga any way iwe ya ki utunzi iwe true whatever the case let's move on
Kwanini mnitoe kama haijalishi ni ya kutunga au true story?
 
Sijaona sababu ya kutishiana na kutukanana kama mmekubaliana mrudishiane pesa basi mrudishiane kiustaarabu tu.....
 
Ila Mwamba si alisema kaokoka anatoa ushuhuda kwa bwana sasa imekuaje tena mpk telegram??
Alishasema hapo kwenye story yake pesa inaendana na shetani. Kampa nguvu shetani. Kwa mara nyingine katika maiaha yake shetani ameshinda. Huyu jamaa bana. Kaanza na kusema kuna watu wanataka kununua story aone uelekeo. Kaja tena na kuhamia telegram. Ishu sio buku ishu ni tamaa ya msimuliaji. Kwani tokea mwanzo alikua anasisitiza ni yeye mwenyewe kaamua kusimulia story ya maisha yake kilichomsibu tena kuhamisha uelekeo ni nini. Bora angeendelea kuomba hela ya vocha hapa hapa.
 
Msiniambie thinkers ni wachache ina maana hakuna mtu aliyejua kwa utunzi huu na jinsi anavyopangilia matukio mwisho wa siku mngelipia ????

Mbon ailikuw clear kwamba ukiachana na story huyu ni mtunzi mwenye uwezo waku create attention kubwa ya watu

Hivi hamuoni flow nzuri ya matukio iliyopangaliwa.Huyu mtu sio muhadithiaji story tu ni mtunzi kabisa tena mzuri.Ametoa dose ya story ambye ni very addictive, story ya kweli mixer na mpangilio wenye kuvutia vzr hilo jambo sio rahisi km sio mtunzi..

Nyie kalipeni hizo buku mumusapoti jamaa kwani kitu gani
Tatizo ni ishu za kuanza ku install app zingine na kujifunza kuzitumia hapo ndipo alipokwama, wabongo wengi watakwama hapo
 
Back
Top Bottom