Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Duuu! Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu alishalipa gharama..Niseme tu kua umefanya KOSA kubwa sana kuokoka, everything comes with a price ..japo hii stori kwa kiasi kikubwa umedanganya baadhi ya vipengele
Wewe siyo mzima.Sio kosa tu , kwanza ni USANII...tena USANII mkubwa
Usismsikilize huyo mkuu.Kama kipengele gani mkuu nilichodanganya?
Nilikuwa nataka anijibu mkuu pengine yeye ndiye lwanda Magere,hivyo akawa anaelewa zaidiUsismsikilize huyo mkuu.
Mimi nakupongeza kwa kujisalimisha kwa Mungu.
Unazijua Tenzi za Rohoni?
Ni Sikukuu
Ubeti wa Tatu..
Imba huo ubeti mara nyingi uwezavyo,
Unapokutana na maneno kama hayo basi kumbuka huo ubeti.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
"Moyo tulia kwa Bwana .
Kiini cha raha yako .
Una njia mbili tena .
Yesu ndiye njia yako" .
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Hakuna lolote kwako.
Corrupted minds! Ningejibu lakini ni waste of time mtanichosha tu. Ila there is nothing like wokovu yote ni USANII tu. ila mwisho wa siku kila mtu asimamie imani yakeYesu alishalipa gharama..
Haijalishi dhambi zake zilikuwa nyekundu kama bendera,, Mungu anasafisha na kuwa nyeupe kama sufu na theluji.
Cha kumsisitiza hapa ni kusimama imara maana alishatangaza vita na ibilisi,vita kali mno..
Mkuu unasema amefanya kosa kuokoka???
Biblia inasema ni furaha Mbinguni, Malaika wanashangilia kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja anapotubu.
Kama Malaika tu wana shangwe na Mbingu yote inafurahi;wewe ni nani useme AMEKOSEA?
Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.Hakuna lolote kwako.
Ila
Mambo yote yapo huku,huku kwa Yesu
Uje uone mambo yote[emoji4]
Yesu ndiye njia kweli na uzimaNyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu neno msalaba kwao waliopotea ni upuuziCorrupted minds! Ningejibu lakini ni waste of time mtanichosha tu. Ila there is nothing like wokovu yote ni USANII tu. ila mwisho wa siku kila mtu asimamie imani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda na wewe kaandike ulete.Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kma kila mtu asimamie Imani yake kulikiwa hakuna haja ya kutoa attacks kuhusu mtu kuokokaCorrupted minds! Ningejibu lakini ni waste of time mtanichosha tu. Ila there is nothing like wokovu yote ni USANII tu. ila mwisho wa siku kila mtu asimamie imani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
usanii gani tena boss 😅😅😅
samaki mmoja akioza unamtoa unamtupa ili wengine wasalimikeSasa kma kila mtu asimamie Imani yake kulikiwa hakuna haja ya kutoa attacks kuhusu mtu kuokoka
Sio vizuri kujudge kitu usichokiamini
Kitu uliona usanii usinge comment chochote kwa sababu hakina faida kwako ungekiacha tu
Yawezekana kimeletwa kwa wale wanaokiamini iko kitu
Imani iko ndani ya mtu usihukumu kuwa Imani fulani ndo sahihi na nyingine ni usanii
aliyekuambia hana mamlaka ya kuanisha uovu ni Nani?Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
KALAGABAHO ! Msinichoshe na misemo yenu.aliyekuambia hana mamlaka ya kuanisha uovu ni Nani?
Maovu yanapaswa kukemewa na hatuwezi kuheshimu imani inayopekelea uovu
Nilitamka hivyo makusudi ili baadhi yao waache unafiki humu jamvini na mitaani kwetu huko kuanzisha jambo kwa minajili ya Ku mock upande mwingine, tena zaidi bila vidhibitisho, yani stori ya kuwaonesha wengine ni WABAYA, je tukianza kuongea hapa ya wachungaji na manabii wanaenda kuchukua nguvu za ziada ghana au Nigeria kwa ajili ya MIRACLES sababu watu wengi wanaosema wameokoka ndio hao wanakimbilia ishara na miujiza, wengine kukanyaga mafuta, wengine kupuliziwa dawa ya mbu, juzi namsikia mmoja anajitapa kua ni bingwa wa mizimu, siku hizi makanisani huko hakuna neno la Mungu linahubiriwa, ni mipasho kila kona, mapadre wananajisi watoto wadogo, wengine ....sasa umenilazimisha nianze kuongea japo nilichosema ni kipisi kidogo tu, itoshe kusema kuwe na mipaka ya kutangaza unachoabudu bila Ku MOCK wengine, kujiona nyinyi ni WASAFI wengine sio WASAFI haifaiSasa kma kila mtu asimamie Imani yake kulikiwa hakuna haja ya kutoa attacks kuhusu mtu kuokoka
Sio vizuri kujudge kitu usichokiamini
Kitu uliona usanii usinge comment chochote kwa sababu hakina faida kwako ungekiacha tu
Yawezekana kimeletwa kwa wale wanaokiamini iko kitu
Imani iko ndani ya mtu usihukumu kuwa Imani fulani ndo sahihi na nyingine ni usanii
Kama kipengele gani mkuu nilichodanganya?
Yaani ameokoka Lwanda ila anaumia yeye[emoji1787]Sasa kma kila mtu asimamie Imani yake kulikiwa hakuna haja ya kutoa attacks kuhusu mtu kuokoka
Sio vizuri kujudge kitu usichokiamini
Kitu uliona usanii usinge comment chochote kwa sababu hakina faida kwako ungekiacha tu
Yawezekana kimeletwa kwa wale wanaokiamini iko kitu
Imani iko ndani ya mtu usihukumu kuwa Imani fulani ndo sahihi na nyingine ni usanii