Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Hahahahaha
Wacha nisubiri episode tu hapa..
Wametukatili kuufunga uzi wetu pendwa wa macrush[emoji1787]

Hivi kuna hadithi nyingine humu jf nzuri nzuri kama hii?
Kama ipo naomba unitajie nijaribu kuisoma.
Mimi ni mvivu sana kusoma hadithi na kumaliza, hadi nimesoma hadithi ya mtu basi ujue anajua sana kuandika na imenivutia.
 
Hahahah watu na macrush wenu
Mbona story zipo nzuri tatizo unapata notification za tag

Halafu uko kwingine kuna arosto sana utazivumilia
 
Back
Top Bottom