Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Muite kwa majina mazuri mazuri km honey, best n.k jamaa aje maana naona amedhira. Kuna watu humu walimchafua akili yake ndiyo maana akasusa. Tangu wiki iliyopita naona kimya. Okoa jahazi mama
Shunie, mbembeleze jamaa aje
Hata iwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muite kwa majina mazuri mazuri km honey, best n.k jamaa aje maana naona amedhira. Kuna watu humu walimchafua akili yake ndiyo maana akasusa. Tangu wiki iliyopita naona kimya. Okoa jahazi mama
Shunie, mbembeleze jamaa aje

Demu wangu atambembelezaje mshkaji kisa we upate adisi? ebu tulia, adisi ndio imeishia apa.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shughuli ilikua inakwenda murua sn lkn mjomba Lwanda alipoanza kujibu wajuaji ndio walipotibua mambo, umu yataka uvumilivu mno[emoji848]
 
Aisee kweli, humu kuna much know pro extra max, yani ni wanakomaa sijui ma agent wa kuzimu chaaah

Ukijaribu kupambana nao umeharibu, lazima nafsi itibuke
 
U

Umeona mkuu yaani ni wajuaji balaa sasa sijui kwnn wasianzishe siridiii (nyuzi)zao hahaaaa nao waelezee hizo experience zao kazi kudandia magari kwa mbele..
 
Kumbe ni demu wako? Nilijua ni mke wako hapo ningeingia na hofu ila umeniambia ni demu wako wala sijashtuka kbsa. Ungeniambia ni mkeo, ningekuomba hata samahani

Back
Top Bottom