Tonia alirudi kwa wazazi wake baada ya juhudi za kuwa pamoja daima kugonga mwamba.
Lilichomfanya arudi kwao walipitia hali ngumu kiafya kitikana na msongo wa mawazo
Hongera kwa simulizi, hongera kwa funzo ulilolitoa. Japo mengine hujataka kutusimulia kutokana na mhusika kutotaka kusimulia zaidi.
Haya mambo yapo kila mahali sema tu huwa tunalindana kusema