Kuhusu ya Arusha ET
Et alirequest kuland, tower wakamwambia azunguke ili kisesna kilichokuwa kimeharibika kwenye runway kiondolewe,
Et akazunguka ikafikia mahali mafuta yakawa hayatoshi, akaomba tena atue, akaambiwa aende Dar/Nai/Mbs/Znz
Et hakuwa na mafuta, baada ya muda Et akaita tena kutua akaambiwa sawa tua, jamaa akatua akijua ni KIA, Tower ya Kia inamuuliza mbona unatua ila hatukuoni? Akasema nishatua ila .........
Ndo ikabidi jitihada zifanyike kwenda Kisongo maana Kisongo hawana ngazi kubwa za kushusha abiria,
Abiria walisubiri ili ngazi itoke KIA
Baada ya hapo wakasafirishwa hadi Hotelini(st pro av).
Ila sababu kubwa ilikuwa uzembe wa kia na et maana et alitakiwa awe na mafuta ya kutosha hata masaa 2
Pia Kia alizembea kutotoa ndege runway mapema