Mikasa ya ndege kubwa kubwa

Mikasa ya ndege kubwa kubwa

Ujinga ni kutetea ujinga kwa kutumia ujinga wako uliokubuhu ukidhan unamsaidia mjinga mwenzio kumbe unamuongezea ujinga fala sana wewe au ndo umekuja na id ya pili kuhalalisha huo ujinga wako bwege sana wewe hujui hata unachotetea zaidi ya ujinga ujinga tu

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Hawa nao ni ma GT's....kwl JF kuna kazi...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hizi ndege bwana watu tunazifurahia sana lakini siku ikiwa yako haupatikani hata nyama

Katika pita pita zangu ajali mbaya zaidi ya ndege ni ile ya "Tenerife Airport Disaster" ya 1997 ilitokea wakati wa mwisho kabisa Spain.

Pata picha ile speed ya Runway halafu zitokee ndege mbili zinazokaribina ukubwa zikavaana zaidi ya watu 500+ walipoteza maisha pale pale.

Ndege zote zilikua Boeing 747 moja ikitokea Netherland nyingine ikitokea Los Angeles baadaye chumba cha kuongoza ndege pale Spain kilidai makosa yalikuwa ya marubani wote wawili ila upande wa Los Angels wakakataa na kusema makosa yalikuwa chumba cha kuongoza marubani pale Tenerife.

Baadaye ilibidi nchi zote zitume wapelelezi maalumu wakagundua makosa yalikuwa kwa rubani wa KLM-Boeing 747 ya Netherland ikabidi nchi na shirika hili la ndege liwajibike kuwalipa waliofiwa na waloliojeruhiwa.

Lakini pia ajali hii ilifanya pande zote mbili kukaa na kuangalia upya mifumo ya mawasiliano viwanjani na kuleta mabadiliko makubwa sana katika mawasiliano pamoja na crew za kuongoza ndege kuanzia kwa marubani mpaka viwanjani

natamani sana kuielezea kwa undani hii ajali sema leo weekend inabidi vingine viendelee-wengine wataendelea nilipoishia
Pia kulikuwa na ukungu na makosa ya rubani wa KLM kutosubiri kupewa ruhusa ya kuruka. Kumbuka alikuwa amekuwa delayed for almost 2 or 3 hrs. Ilikuwa ajali mbaya sana.
 
Mambo haya huwa nayaona sana Kwenye channel ya National Geographic Gold.. Wakijadili ajali za ndege..wanaelezea vizuri sana kilichotokea kwenye Special investigation report.. Honestly wenzetu wanatumia akili zao vizuri.
 
Ila ukiangalia marubani wa fly emirates wako vizuri, kuna video niliiona YouTube jamaa walishusha ndege uwanjani ilikuwa ni airbus A380 yani ndege ilikuwa inatua kweny ile run way alafu tairi zikawa hazigus chini kwa mda sekunde flani hivi amaizing...yani skills ya kufa mnyaturu wale jamaa wanayo noma sana
 
Attachments

Hizi ndege bwana watu tunazifurahia sana lakini siku ikiwa yako haupatikani hata nyama

Katika pita pita zangu ajali mbaya zaidi ya ndege ni ile ya "Tenerife Airport Disaster" ya 1997 ilitokea wakati wa mwisho kabisa Spain.

Pata picha ile speed ya Runway halafu zitokee ndege mbili zinazokaribina ukubwa zikavaana zaidi ya watu 500+ walipoteza maisha pale pale.

Ndege zote zilikua Boeing 747 moja ikitokea Netherland nyingine ikitokea Los Angeles baadaye chumba cha kuongoza ndege pale Spain kilidai makosa yalikuwa ya marubani wote wawili ila upande wa Los Angels wakakataa na kusema makosa yalikuwa chumba cha kuongoza marubani pale Tenerife.

Baadaye ilibidi nchi zote zitume wapelelezi maalumu wakagundua makosa yalikuwa kwa rubani wa KLM-Boeing 747 ya Netherland ikabidi nchi na shirika hili la ndege liwajibike kuwalipa waliofiwa na waloliojeruhiwa.

Lakini pia ajali hii ilifanya pande zote mbili kukaa na kuangalia upya mifumo ya mawasiliano viwanjani na kuleta mabadiliko makubwa sana katika mawasiliano pamoja na crew za kuongoza ndege kuanzia kwa marubani mpaka viwanjani

natamani sana kuielezea kwa undani hii ajali sema leo weekend inabidi vingine viendelee-wengine wataendelea nilipoishia
Wakubwa, ajali Zaidi ya asilimia 50 zinasababishwa na makosa ya kibinadamu Zaidi ya kiufundi, maana yake ni kuwa chombo yaani ndege zenyewe huwa mara nyingi ni salama sana kusafiria. Mfano wako wa Teneriffe pia ni uzembe wa rubani na hiyo ni mingi hatuna mahala pa kuelezea hapa. Na kutokana na hayo matukio kumekuwa na maboresho mengi makubwa kwa mafunzo kwa marubani na waongoza ndege, hata maboresho kwa ndege zenyewe na viwanja. Kwa lile la Teneriffe mfano, kwa wakati huu siyo rahisi kujirudia kwa maana sasa mwongoza ndege anaziona ndege kwa kutumia radar na siyo macho kama ilivyokuwa kipindi kile. Ndege nyingi zimefungwa vifaa vya kuepusha kugonga ambapo rubani anapata "onyo" kuwa kuna kitu mbele yake, juu ama chini muda kabla kukifikia. Kwa mantiki hii sisi binadamu ndiyo tunaosababisha matatizo ama kwa makusudi, ama kwa kutokuwa na elimu ya kutosha na wakati mwingine shida zetu. Mfano ni kama pale rubani, kwa sheria za leseni zao, anahitajika kuwa amepumzika siyo chini ya saa 8 kabla hajaingia kazini, hili siyo wote wanafuata maana wengine wanataka kuwa club mpaka late hours n.k. Akiingia kazini kwa kuwa amechoka hatofuata utaratibu unaotakiwa afuate wakati wa kuruka. Shida zinafanya marubani kulazimika kufanya kazi hata kwenye mazingira hatarishi mfano ya wale wachezaji wa club ya Chapeonese ya Brazil kule Colombia.
 
Kwa issue ya Malaysian flight 370, nadharia zipo zinanoonyesha uwezekano wa kilichotokea. Nadharia kuu ni ya kukosekana kwa hewa ndani ya ndege. Mifano yake ipo, imeshatokeana inaendelea kutokea mara nyingi, marubani wanafundishwa na kufanyia majaribio kwenye shule, na mara nyingi imefanikiwa na mara chache imeleta matatizo-ajali tofauti tu ni kuwa hii imetokea kwenye bahari.
Mfano mzuri ni wa ndege ya kampuni ya Kigiriki iliyokuwa ikiitwa Helios, flight 522 mwaka 2005. Ukosekanaji wa hewa uliwaua watu wote hata marubani na mwishowe ndege ikaanguka baada ya kuishiwa mafuta.
 
mi naomba kuuliza kuhusu lile bawa la ndege lilookotwa katika bahari yetu mwaka Jana kama sijakosea uchunguzi wake uliishia wapi? je kuna uhusiano wowote na ndege zilizowahi kupotea?
 
hivi ingetokea zikakosekana mbinu za kuinasua na kuirusha ethiopian line kutoka uwanja wa arusha, japo ilionekana kuwa nzima, hapo ingekuwa je? ingeachwa hivyo hivyo na kuwa ghofu?
 
mi naomba kuuliza kuhusu lile bawa la ndege lilookotwa katika bahari yetu mwaka Jana kama sijakosea uchunguzi wake uliishia wapi? je kuna uhusiano wowote na ndege zilizowahi kupotea?
Inasemekana ni la Malaysia Airlines Flight 370.
 
Sasa wewe na yeye mjinga nani? Wewe ni jinga kabisa kuliko huyo unayemuita mjinga. Unajua maana ya Et= ET? Kwa akili zako fupi unahisi anamaanisha neno ''eti'' Jifunze kuwa na adabu kwenye vitu usivyovijua usionekane mjinga.
eti
 
Kuhusu ya Arusha ET

Et alirequest kuland, tower wakamwambia azunguke ili kisesna kilichokuwa kimeharibika kwenye runway kiondolewe,
Et akazunguka ikafikia mahali mafuta yakawa hayatoshi, akaomba tena atue, akaambiwa aende Dar/Nai/Mbs/Znz
Et hakuwa na mafuta, baada ya muda Et akaita tena kutua akaambiwa sawa tua, jamaa akatua akijua ni KIA, Tower ya Kia inamuuliza mbona unatua ila hatukuoni? Akasema nishatua ila .........
Ndo ikabidi jitihada zifanyike kwenda Kisongo maana Kisongo hawana ngazi kubwa za kushusha abiria,
Abiria walisubiri ili ngazi itoke KIA
Baada ya hapo wakasafirishwa hadi Hotelini(st pro av).
Ila sababu kubwa ilikuwa uzembe wa kia na et maana et alitakiwa awe na mafuta ya kutosha hata masaa 2
Pia Kia alizembea kutotoa ndege runway mapema
Mbona et nyingi
 
Back
Top Bottom