Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Kwa nini ligomeassume nalo limegoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ligomeassume nalo limegoma?
Ni lazima atakuwa ni kutoka nchi yenye hilo shirika la ndege yaani Ethiopian Airlines au kutoka Jeshi la EthiopiaHata Mimi nataka kujua huyo mjeda alikuwa wa nchi gani?
Mimi sikuelewa na sijaelewa hiyo et kila nikijaribu kuunganisha dots nimeshindwa nikahisi labda Ethiopia lakin hola.Huezi kuandika bila hilo neno et mjinga wewe ebu kajifunze kuandika
Huezi kuandika bila hilo neno et mjinga wewe ebu kajifunze kuandika
Ha ha haaaa.. Hii walipotea njia nadhani, badala ya kutua KIA wakatua kisongo(hapo sina uhakika sana)
Ila ni kwamba ndege ilitua kwenye uwanja mdogo kuliko size yake, shughuli ikaja jinsi ya kuirusha, ilibidi run way ianzie offroad lakini iliruka, alierusha alikua Mwanajeshi... Ipo Youtube pia.
Chuma CHAKAVU BABAhivi ingetokea zikakosekana mbinu za kuinasua na kuirusha ethiopian line kutoka uwanja wa arusha, japo ilionekana kuwa nzima, hapo ingekuwa je? ingeachwa hivyo hivyo na kuwa ghofu?
nasikia inarudiMkuu nimeireview tena ile documentary:
Ni kwamba baada ya tairi kubust, ikawaka moto!
na ndege ikisharuka tu inakunja miguu na kuingia ndani(kifuani)
Sasa tairi ipokunywa ikaingia kifuani na moto wake kama ulivyo, na kumbuka usawa huo huo ndio kulikua na mbawa zenywe mwaarabu(mafuta).
Hapo ikalipuka na disturb systmy nzima kwahiyo ndege ikashindwa kuendesheka, na kulipuka!
Concord ilikua ni very supersonic plane..
Ilikua na speed ya ajabu, wazungu wakipanga yao hawashindwi..
ngoja niaangalie na hizo zingine, nitarudi
Inasadikika ilikuwa planned, ile ndege haikutua kwa dharula Bali makusudi Na kifupi ilipakia sembe nyingi ambayo ilikuwa inalipa had I bima ya ndege Na abiria kwa usumbufu. Ilienda paki kule kwa makusudi Na SBB ilikuwa ikitua kia MZIGO ungekaguliwa, DSM pia so majamaa yalishapiga hesabu wakafanya hivyo. Majamaa yalipata taarifa 1 week baadaye kuwa ngada.naamini hukuenda kujipitisha-pitisha watu wakuone kwa ajili ya 2020.
Arusha Airport lilitua kwa dharura dege kubwa la Boeing 767 la Shirika la Ethiopian Airline lenye uwezo wa kubeba abiria 230 kama sijakosea. hata hivyo uwanja ule si wa kutua madege makubwa sampuli ile inavosemekana. kwa hiyo rubani alimudu kulitua hivyohivyo na matokeo yake (kutokana na udogo wa uwanja pengine) dege lile likaenda kunasa kwenye tope.
kitu ambacho sijuwi na ninataka kujuwa:
kwa nini lilitua kwa dharura?
maarifa gani yalifanyika hata baadae likaja kumudu kuruka licha ya kuwa uwanja ule si saizi yake?
hapo ndipo napoona wana JI mnahusika kutoa majibu
naamini hukuenda kujipitisha-pitisha watu wakuone kwa ajili ya 2020.
Arusha Airport lilitua kwa dharura dege kubwa la Boeing 767 la Shirika la Ethiopian Airline lenye uwezo wa kubeba abiria 230 kama sijakosea. hata hivyo uwanja ule si wa kutua madege makubwa sampuli ile inavosemekana. kwa hiyo rubani alimudu kulitua hivyohivyo na matokeo yake (kutokana na udogo wa uwanja pengine) dege lile likaenda kunasa kwenye tope.
kitu ambacho sijuwi na ninataka kujuwa:
kwa nini lilitua kwa dharura?
maarifa gani yalifanyika hata baadae likaja kumudu kuruka licha ya kuwa uwanja ule si saizi yake?
hapo ndipo napoona wana JI mnahusika kutoa majibu