Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

Ni hela nyingi mana unaichukua kma ilivyo, haikatwi popote
 
Basi tu wanaume hatuaminiki
Naona kuna wanawake hapa wanaona ndogo hio hela
Ila wangetoa hili tangazo kwa njemba ni kimya kimya watu wanaondoka t
 
Kaz za ndani qatar na dubai..saudia na oman hapana labda kama washaweka mambo sawa kiserikali.
Mkuu hivyo sawa kama kuna sheria zinazowabana raia wao kutowanyanyasa kingono wafanyakazi na pia kuwafanyisha kazi masaa mengi na kulala mda mchache
Wana shida sana hao nakumbuka wafilipino walirudishwa na kukataa kufanya kazi za ndani maana walikuwa wanawapiga sana na kuna kesi za kutisha sana nilizisikia nikiwa huko
Ila kama wamekatazwa labda
 
Back
Top Bottom