Mkuu hivyo sawa kama kuna sheria zinazowabana raia wao kutowanyanyasa kingono wafanyakazi na pia kuwafanyisha kazi masaa mengi na kulala mda mchache
Wana shida sana hao nakumbuka wafilipino walirudishwa na kukataa kufanya kazi za ndani maana walikuwa wanawapiga sana na kuna kesi za kutisha sana nilizisikia nikiwa huko
Ila kama wamekatazwa labda