Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani