makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Tatizo la viongozi wetu ni 10%, wanaweka maslahi yao mbele kuliko taifa, ni wa roho na wenye uchu na mali, wakishaona maslahi yao ni makubwa, watafanya hiyo dili haijalishi kama tanzania itateseka katika hilo dili.