Kenge hafi mpaka damu itoke masikioni!Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
Ameshapewa mlungula wake huyo!
TLS, Tanganyika Law Society kuna wabobezi huko wawajumuishe kwenye hii mikataba hatarishi kwa Taifa, wasione aibu mficha maradhi humuumbuaTatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
Dogo we mgeni nchini? Shida siyobTLSTLS, Tanganyika Law Society kuna wabobezi huko wawajumuishe kwenye hii mikataba hatarishi kwa Taifa, wasione aibu mficha maradhi humuumbua
It is never too late in life
Kafulila na pPPP
Tulishapokea container za baiskeli na pikipiki zenye sura ya mtu na bakshish nene..hatuwezi kafanya kama Kenya
We mimi siyo dogoDogo we mgeni nchini? Shida siyobTLS
Shida ni mfumo wa kifisadi wa ccm
Haya twende kwenye hoja ya msingiWe mimi siyo dogo
That is an insult, do not address every one in that way
Kumbe ndio maana kafulila anampigia chapuo sana!!!Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
Tanzania inabidi tijiulize kwanini huyo Jamaa KENYA wamemfurusha?Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba.
Najua itakuwa ngumu kwa upole wetu kwa wala rushwa na kuzubaa zubaa kwentu na kuchekeana kila kitu lakini ni lazima tutafute njia na mikataba na mazungumzo yote na hii kampuni yasitishwe.
PIA SOMA
- Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
Tatizo tunaishi kwenye.jamii ya kanyaga twende, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, na ndiyo maana CCM wanafanya wanavyotaHaya twende kwenye hoja ya msingi