Mikataba yote ya Gautam Adani tutafute njia ya kisheria ya kuifuta

Tatizo la viongozi wetu ni 10%, wanaweka maslahi yao mbele kuliko taifa, ni wa roho na wenye uchu na mali, wakishaona maslahi yao ni makubwa, watafanya hiyo dili haijalishi kama tanzania itateseka katika hilo dili.
 
Tukiwa tunapiga kelele mnaona tunawaaibisha hatupendi maendeleo ona sasa mambo yenu yanawekwa hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…