Supa loaf is the best.....hana mpinzani.Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi zote za kuitwa mikate, kuanzia ladha, harufu, ujazo sahihi wa unga hadi ulaini.
View attachment 3027259
Kumbe chapati marage ni breakfast..Kuna mgeni nilimpokea kutoka Malawi alishangaa sana kwa nini Watanzania wengi hawali mikate kama kitafunwa cha breakfast
Nikampeleka mgahawa fulani akashangaa watu wanakula mboga asubuhi alipoona wanaagiza chapati na supu na kuna siku alishangaa kuona mtu anakula maandazi na mboga (maharage) asubuhi
Kila jioni ilikuwa lazima arudi na mkate nyumbani kwa ajili ya breakfast
Tanzania ni nchi ambayo mkate sio sehemu kuu ya kiamsha kinywa chetu
AlubatiMate yamenijaaa tayari unatia blue bad na karanga za kusaga, na maziwa fresh.
ManeyHujaonja boflo wewe utaiona hiyo superloaf takataka.
Kwa mama lishe na hata baadhi ya migahawa hizo ni breakfast za Watanzania wengi hasa hapa DarKumbe chapati marage ni breakfast..
Mi na jamaa angu ndo chakula chetu cha usiku
YasAlubati
Usiku baadhi ya mabachelor imekuwa msosi wao huoKumbe chapati marage ni breakfast..
Mi na jamaa angu ndo chakula chetu cha usiku
Hiyo ipo kuna bosi wangu wa kizungu hutumia anasema ina virutubisho zaidi ni kama dona.Kuna mikate huwa inatoka Uganda ina rangi ya chocolate, sijawahi kula mkate mtamu kama ule.......