Mikate bora zaidi Tanzania

Mikate bora zaidi Tanzania

Ukutane na superloaf mlainiiiii, slices uzipake blueband kisha pembeni una chai ya maziwa yenye viungo...

Alooooooo.........mapenzi yanauma nyie.
 
Usiku baadhi ya mabachelor imekuwa msosi wao huo

Migahawa au baba/mama lishe siku hizi wanauza sana ikifika jioni utaona kimeza na viti, pembeni chapati zinachomwa na maandazi yakikaangwa na jungu la maharage likitokota

Wanetu wakijipatia dinner baada ya kutoka kulijenga taifa
Ahahahahha😂😂😂😂
Hili neno LIKITOKOTA umeliokotea wapi mwamba 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Hujaonja boflo wewe utaiona hiyo superloaf takataka.
Nchi nyingi hii white bread kwa sasa inaliwa kwa nadra sana kwa sababu za kiafya. Wanasema siyo nzuri. Ila hii mingine sasa kuila mpaka ujiandae
1719503808163.jpeg
 
Hiyo ipo kuna bosi wangu wa kizungu hutumia anasema ina virutubisho zaidi ni kama dona.
Pia hutumika sana kuongeza " nguvu"
Kuna ulazima gani wa kuweka "" kwenye neno nguvu 😂😂😂😂
Sasa alubati unaanza zingua
 
Ni kweli mkuu chapati marage au chapati supu.

Ila huku mtaani kwetu huyu maza anatulisha chapati marage usiku
Yeah kweli kuna yule na timu yake wapo pale Mawasiliano karibu na soko yeye anafungua kuanzia jioni tu

Oyaa wana masotojo kama yote. Supu za kila aina, maandazi, mihogo, chapati, vitumbua, ndizi, mihogo, ukitaka wali, ugali nyama choma

Kuna watu wabunifu aisee wa biashara. Na watu wanajaa mpaka viti vinaisha vya kukaa wateja
 
Oyaa akili tuu mjini hapa...
Huyo anapata wateja kama wote an
 
Back
Top Bottom