Mikate bora zaidi Tanzania

Mikate bora zaidi Tanzania

Mkate nakula wa sangweji tu, na ni mlo wa mchana, siyo asubuhi wala usiku,
Yaani niache kula vitumbua vya moto asubuhi nikale mikate? kwa kweli hapana

1719508904583.png
 
Mabumunda ni mikate Bora sana kwa wale wagonjwa na wanaopunguza uzito
 
Mi super loaf siuelewi siku hizi.Kuna wakati inakua mibichi kabisa ukifinyanga slace inakua kama ugali.Kwa sasa(DSM) naona Bora British bread au dogosa cake.
 
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Hakika, alikuaga anasafiri jamaa yangu kwenda Uganda basi akija analeta huo mkate sijawahi kula mkate mtamu kama huo.....
Hii ya Ar cha mtoto
 
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Kuna mkate ulikuwa unaitwa Sakina unatokea Arusha siuon tena miaka mingi sijawah kula mkate mtamu Kama ule jamani hiyo mtukula ni mitamu kawaida tu haina tofauti na fahari/tiktok ta mwanza
Sakina ilikuwa kibokoo
 
Aaah itakuwa walikuletea ile ya kawaida mikate ya ug ni kiboko niamini, tz bado sana
 
Supa loaf naweza kuila bila kimiminika chochote zaidi ya mate tu
 
Kuna mgeni nilimpokea kutoka Malawi alishangaa sana kwa nini Watanzania wengi hawali mikate kama kitafunwa cha breakfast

Nikampeleka mgahawa fulani akashangaa watu wanakula mboga asubuhi alipoona wanaagiza chapati na supu na kuna siku alishangaa kuona mtu anakula maandazi na mboga (maharage) asubuhi

Kila jioni ilikuwa lazima arudi na mkate nyumbani kwa ajili ya breakfast

Tanzania ni nchi ambayo mkate sio sehemu kuu ya kiamsha kinywa chetu
Hata Zambia, Zimbabwe mkate ni lazima kwenye breakfast
 
Sipendi mikate Sana ila hii mikate ya Uganda dah mitamu kuna wa maziwa na wa brown mitamu sana
 
Back
Top Bottom