Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Unaujua tiktok ya mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Millet Brown bread a.k.a Kalo/karo😋Kuna mikate huwa inatoka Uganda ina rangi ya chocolate, sijawahi kula mkate mtamu kama ule.......
Kitambo sana inaelekea mkuuDaa 🤣🤣
Naomba picha ya Bmunda moja tafadhali.
Naomba uniletee 😁Millet Brown bread a.k.a Kalo/karo😋
Akida from kanda ya kaskaznAkida
SuperLoaf
Sunkist
Hii ni kwa Arusha na Kilimanjaro. They're the best..
Hahaha fahari je 😂😂Unaujua tiktok ya mwanza
Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasomeSio brown bread huo naujua, huu nadhani ni wa kawaida tu umemixiwa na cocoa....ni mtamu sana.
Hakika, alikuaga anasafiri jamaa yangu kwenda Uganda basi akija analeta huo mkate sijawahi kula mkate mtamu kama huo.....Waganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Nimekaa Arusha sikuona jipya mikate mikavu haina hata ladha makubwa tu lkn hamna kitu, mikate ipo ug bhanaHakika, alikuaga anasafiri jamaa yangu kwenda Uganda basi akija analeta huo mkate sijawahi kula mkate mtamu kama huo.....
Hii ya Ar cha mtoto
Kuna mkate ulikuwa unaitwa Sakina unatokea Arusha siuon tena miaka mingi sijawah kula mkate mtamu Kama ule jamani hiyo mtukula ni mitamu kawaida tu haina tofauti na fahari/tiktok ta mwanzaWaganda wanajua sana kutengeneza mikate huwa inaishia kagera mipakani huko kyaka, kikagati/murongo, mutukula ipo kila aina mitamu mno hiyo ya Arusha ikasome
Aaah itakuwa walikuletea ile ya kawaida mikate ya ug ni kiboko niamini, tz bado sanaKuna mkate ulikuwa unaitwa Sakina unatokea Arusha siuon tena miaka mingi sijawah kula mkate mtamu Kama ule jamani hiyo mtukula ni mitamu kawaida tu haina tofauti na fahari/tiktok ta mwanza
Sakina ilikuwa kibokoo
Hapana ni hiyo hiyo mama tofauti tofaut nimekaa kule mwezi mzimaAaah itakuwa walikuletea ile ya kawaida mikate ya ug ni kiboko niamini, tz bado sana
Hata Zambia, Zimbabwe mkate ni lazima kwenye breakfastKuna mgeni nilimpokea kutoka Malawi alishangaa sana kwa nini Watanzania wengi hawali mikate kama kitafunwa cha breakfast
Nikampeleka mgahawa fulani akashangaa watu wanakula mboga asubuhi alipoona wanaagiza chapati na supu na kuna siku alishangaa kuona mtu anakula maandazi na mboga (maharage) asubuhi
Kila jioni ilikuwa lazima arudi na mkate nyumbani kwa ajili ya breakfast
Tanzania ni nchi ambayo mkate sio sehemu kuu ya kiamsha kinywa chetu