Mikato ya pamba za hatari

Mikato ya pamba za hatari

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.

Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.

Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!

f8563fd28cb2515b1dd3fec073c79fb1.jpg
 
Kuvaa kuna gharama zake pia..!!! So ni bora ukapenda kuvaa AT YOUR OWN EXPENSES. Sio unajifanya unapenda kuvaa wkt unagongea hela kwa blaza.
Ukiona ghrama kwenye kuvaa ujue sio mvaaji hizo ni excusez tu
 
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart. Kuvaa ni sanaa na damu ya mtu.. Kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.

Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.

Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!

f8563fd28cb2515b1dd3fec073c79fb1.jpg
Tupo pa1
 
Vitu kadhaa vimekosekana e.g. simu, underwear, mtu, socks. Nikiwa na maana ya kwamba umejenga nyumba hata upige chuping nje kama ndani hujakarabati ni Sawa na hakuna
 
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart. Kuvaa ni sanaa na damu ya mtu.. Kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.

Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.

Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!

f8563fd28cb2515b1dd3fec073c79fb1.jpg
Tupe na majina ya maduka tununue hio mikato ya ukweli....🙂🙂
 
Back
Top Bottom