Mikato ya pamba za hatari

Mikato ya pamba za hatari

65a99f5dbdc297fcb77f962854eacb24.jpg

New balance ndio raba nazopenda muda wote.. Zinakuja fashion zinaondoka ila ndani uwa sikosi NB

Ni classics.
 
Watoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
 
Watoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Bila kutaja watu wa Dar thread haikamiliki. Wengine tukitaja maduka tunayonunua tutaambiwa tunajionesha.
[HASHTAG]#NoFakeZone[/HASHTAG]
 
miguu meupe hatar.....ww ni mzungu???
Huyo si mzungu bali hiyo picha ni yale masanamu yanayo valishwa nguo mpaka viatu kisha yakasimamishwa nje ama ndani ya duka la nguo ili kutangaza bidhaa iliyopo. Ichunguze picha hiyo kwa makini utapata jibu
 
Watu wafukunyuku mpaka lisanamu
 
Boateng tumeambiwa hela zake anamalizia kwenye magari na mavazi, afadhali yule mtaalamu wa kuuramba nguo za mitumba. Hongera dogo ila usizidishe sana pamba
 
Mkuu hivi viatu sio vya walemavu mbona vyote vya kushoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom