Hivi kwanini vijana (wavulana na wasichana) wengi wa siku hizi hupenda kuvaa nguo za wadogo zao?
Wanataka tuone kwa Urahisi ( Kontua) Miinuko na Mabonde ya Miili Yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini vijana (wavulana na wasichana) wengi wa siku hizi hupenda kuvaa nguo za wadogo zao?
Hiv hii mizigo mnaipendea nini![]()
Mimi napenda timberland booty
Yeuwiiiii eti makoroboi maimoria kuna vikali aiseeeeWatoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Zina sehemu zake hizo au hata ukuwa street![]()
Hizi ndizo dressing code zangu,
Yeuwiii airmax anazielewa mdogo angu yani hazimpiti na adidas zile lol![]()
napenda kutumia ktu cha airmax, kadet na tshirt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i miss youWavaa MISULI huu uzi hautufai!
Vipo fresh mkuu vimekaa pouwa
Yeuwiiiii eti makoroboi maimoria kuna vikali aiseeee
Nilikuwa nazipenda kipindi niko mdogo...MankaM we huvai kufuli za Meimoria?
Ama wanao?
Ama ulipokuwa mtoto hukuvaa kufuli za kb?
Kwani wewe ni mkongoman?Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.
Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.
Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!
![]()
kwa sababu tunaipenda .. yan bei yake ukikute chenyewe kabisa we ni kina kuvalisha kwanzia juu mpk chini ndo bei yake tuu.a.k.a buyu a.k.a mchungwa a.k.a dundoHiv hii mizigo mnaipendea nini
Hivi ulijificha ama ulifichwa? Nipo wangu. Be blessed in the year 2017.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i miss you
NimefichwaaaaHivi ulijificha ama ulifichwa? Nipo wangu. Be blessed in the year 2017.
Be blessed tooHivi ulijificha ama ulifichwa? Nipo wangu. Be blessed in the year 2017.
Kama unashindia chips huwezi kuwa na nguvu ya kunyanyua mguuHiv hii mizigo mnaipendea nini
Haaa. Haaa. Haaa. Hongera.Nimefichwaaaa