Mikato ya pamba za hatari

Mikato ya pamba za hatari

a9cb1fc3734482aa25ffaaafa896bacf.jpg


Mimi napenda timberland booty
Hiv hii mizigo mnaipendea nini
 
Watoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Yeuwiiiii eti makoroboi maimoria kuna vikali aiseeee
 
MankaM we huvai kufuli za Meimoria?
Ama wanao?
Ama ulipokuwa mtoto hukuvaa kufuli za kb?
Nilikuwa nazipenda kipindi niko mdogo...
Saiv siwezi vaa ntapiga mikato mingine ila kufuli no...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila tunakuwaga tuzuri
 
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.

Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.

Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!

f8563fd28cb2515b1dd3fec073c79fb1.jpg
Kwani wewe ni mkongoman?
 
Hiv hii mizigo mnaipendea nini
kwa sababu tunaipenda .. yan bei yake ukikute chenyewe kabisa we ni kina kuvalisha kwanzia juu mpk chini ndo bei yake tuu.a.k.a buyu a.k.a mchungwa a.k.a dundo
 
Back
Top Bottom