kwani hela za "blaza" sio helaKuvaa kuna gharama zake pia..!!! So ni bora ukapenda kuvaa AT YOUR OWN EXPENSES. Sio unajifanya unapenda kuvaa wkt unagongea hela kwa blaza.
Tupo pa1Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart. Kuvaa ni sanaa na damu ya mtu.. Kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.
Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.
Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Uwa najiachia simple tu kama hivi sinaga makorokoro mengi
Anapendelea kuvaa nini nimuige ili nikukoshe?tuwekee picha full lol...
mie napenda uvaaji wa boyfriend wangu ananikosha kichizii
Tupe na majina ya maduka tununue hio mikato ya ukweli....ππNapenda kuvaa vizuri na kuwa smart. Kuvaa ni sanaa na damu ya mtu.. Kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.
Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.
Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!
Mimi napenda timberland booty
miguu meupe hatar.....ww ni mzungu???Napenda kutoka nimevaa simple.. Sipendi kuvaa makorokoro mengi