Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
New balance ndio raba nazopenda muda wote.. Zinakuja fashion zinaondoka ila ndani uwa sikosi NB
Na Mbuyuni pia MkuuWatoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Ebana eeh napata wapi kama hii yaani hivi hivi kila kitu
Mimi napenda timberland booty
Bila kutaja watu wa Dar thread haikamiliki. Wengine tukitaja maduka tunayonunua tutaambiwa tunajionesha.Watoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Huyo si mzungu bali hiyo picha ni yale masanamu yanayo valishwa nguo mpaka viatu kisha yakasimamishwa nje ama ndani ya duka la nguo ili kutangaza bidhaa iliyopo. Ichunguze picha hiyo kwa makini utapata jibumiguu meupe hatar.....ww ni mzungu???
Mkuu hivi viatu sio vya walemavu mbona vyote vya kushoto
Huyo si mzungu bali hiyo picha ni yale masanamu yanayo valishwa nguo mpaka viatu kisha yakasimamishwa nje ama ndani ya duka la nguo ili kutangaza bidhaa iliyopo. Ichunguze picha hiyo kwa makini utapata jibu
We mwenzangu kumbe werawera nikipataga likizo lazma nisanuke maimoriaWatoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Mkuu hivi viatu sio vya walemavu mbona vyote vya kushoto
miguu meupe hatar.....ww ni mzungu???
Huyo si mzungu bali hiyo picha ni yale masanamu yanayo valishwa nguo mpaka viatu kisha yakasimamishwa nje ama ndani ya duka la nguo ili kutangaza bidhaa iliyopo. Ichunguze picha hiyo kwa makini utapata jibu
dox mbeya,black tunduma.......Watoto wa Dar wanaazima sana nguo,sisi mkoani tunajinunulia Maimoria na Kiboroloni,wengine Tengeru,USA,Kikatiti,Makoroboi,Uyole,Mashine tatu
Uache kupiga puyeto mana huoni vizurMkuu hivi viatu sio vya walemavu mbona vyote vya kushoto
Asantetuwekee picha full lol...
mie napenda uvaaji wa boyfriend wangu ananikosha kichizii
Niagize mm nikuleterEbana eeh napata wapi kama hii yaani hivi hivi kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hivi viatu sio vya walemavu mbona vyote vya kushoto
Nitajie tu wanapouza itakuwa poa sanaNiagize mm nikuleter
Nitakununulia ng,ambo hukuNitajie tu wanapouza itakuwa poa sana
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Wapi?Nitakununulia ng,ambo huku