Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Na malipo wanayoyapokea hawakutegemea [emoji23][emoji23][emoji23]walidhan puchi tamu itahongwa nyumba zaidi ya zari badala yake kapewa hisani tu gorofan kachumba kamoja
Ameze tu hakuna namna kwani si wapo walioachwa na mond waunde team yao
 
Hivi hamisa ndo nan wakuu .. Naomba mnieleweshe .. Huyu zari namjua ... So ndo yule wa zari LA mentali au mnamwongelea yupi .. Nipo gizan wakuu !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasahau kwamba zari anajitafutia mkate wake wa kila siku mwenyewe. Baba hajaona watoto wake miezi mitano na hajaombwa child support.
Good, ndiyo nawengine wajifunze kuokoteza hovyo hovyo
 
Lavyuu mamii unaonekana una hekima sana
 
Zari ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] usipoota utapikia. Bwana kajirudisha na zawadi juu acha bibie atishie kujiua
Aliingia vibaya alijua anavuruga kumbe anavurugwa
 
Yan hamisa hata mm zamani mpaka anajifungua fancy nilikua nampendaga.
Ila alivyokuja kuingia kwenye mahusiano na bwana wa mtu na kutaka kumkomoa mwanamke mwenzie haki kanikera sana. Aendelee kupokea malipo ya kazi yake.
Mie mvuruga maisha ya watu na starehe zao hapana yeye abembee tu na maisha yake ya udangaji
 
Mchuma ujinga hula na wakwao
 
Kama ya bahari inavyotema takataka
 
Weeeee wambongo wa insta kwenye umbea kipaumbele ili kutuliza makali ya maisha ila wagusie hela watakukimbia unakumbuka wema sepetu na timu yake na lipstic zimemdodea mpaka wa leo ingawa ukijaribu kumsema wema watakuvamia kama mvua ya mawe ujute
Utazani mashabiki wa nyuki wakikimbilia huku sauti huku wakienda kule sauti kule[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
You said it all
 
Ee binti kajigeuza incubator
Yeye alitakiwa kula kimya kimya kwanini aote mabawa, mie nilikuwa hata siyajui nilisafiri huko kuna team mpaka mikoani Zari & Hamisa mmmmm nilichoka
 
Haya naona anaombewa michango eti ana hali mbaya kiuchumi aiseee ina maana tambo zote zile hakua anapewa pesa ya kutosha na dai
Yeye alitakiwa kula kimya kimya kwanini aote mabawa, mie nilikuwa hata siyajui nilisafiri huko kuna team mpaka mikoani Zari & Hamisa mmmmm nilichoka
 
Mjadala huu ulishafungwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…