Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kabisa bora akae kimya maana kama ana mke sidhan kama atakua anamshabikia hamisa kwa kukurupukia mahusiano ya wenzie.
Mike namshauri haya mambo hayawezi na hayajui vizuri naomba atulie tuu atuhakikishie jf haipati odds attack....haya mengine yanaweza mfanya akaiona jf yake chungu