Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Wale wote wanamtegemea dai kwa kila kitu hivyo wanamcontrol ili wasikatishiwe ulaji

Hamisa akili hana alitakiwa kula kimya kimya no vijembe wala nini,mwisho wa siku tungeshtukia anamiliki mjengo wake wa maana,biashara ya kueleweka. Ila ndo hivyo tena akataka awafaidishe akina nikomesheeee
Ile familia ina roho mbaya tu. Yani wakiona kaka yao yuko busy na mwanamke wanachukua mwanamke mwingine wanamuweka karibu kuvuruga mahusiano ya ndugu yao. Sasa kama Hamisa alitakiwa ajue nafasi yake ni kivuruge akajiweka ugf matokeo yake Diamond akipata mwanamke mwingine wa maana anamtosa Misa maana kazi imeisha.
 
Wale wote wanamtegemea dai kwa kila kitu hivyo wanamcontrol ili wasikatishiwe ulaji

Hamisa akili hana alitakiwa kula kimya kimya no vijembe wala nini,mwisho wa siku tungeshtukia anamiliki mjengo wake wa maana,biashara ya kueleweka. Ila ndo hivyo tena akataka awafaidishe akina nikomesheeee
Tatizo show off mama. Mtu kula kimya kimya hawezi mpaka matangazo. Wenzao wanakulaga wanafuta midomo kimyaaaa
 
Puchi so good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mama ake naye anatafuta huruma mitandaoni. Anasahau alivyokua anawapongeza team hamisa katika kumchamba zari.
Yani kweli malipo hapa hapa duniani akhera inaenda hesabu tu
Karma kweli bitch
 
Pussy so hot angeachwa na majizoo babuu. Sema tu Diamond mwanaume hawezi kuwa hana gf halafu kuna free papuchi from Misa asiitumie haiwezekani kabisa. Hamisa nilikua nampenda ila kutumika kumkomesha Zari na mwanaume mwenyewe kamgeuka nimefurahi kama nini.
Ndio tatizo la kuwekeza akili kwenye pussy..acha yamkute..shubaaat!!
 
Hivi skuiz mtu akipost tweeter au fb inakua ni habari kumbe
 
Sielewi...ila nakazana kusoma comments labda nitapata mwanga.
 
greater thinker kujiingiza kwenye udaku lazima uchemke tu
 
Diamond anawajulia sana watu wake yaani anawazoa anaamua akawamwage wapi alafu kesho anaenda kuwazoa tena anawatupa sehemu nyingine na watu wake hawana shida.
Fuatilia yote yanayoendelea ila hakuna sehemu utasikia Diamond amekosea utaona wanalaumiwa wanawake tu tena wanaongoza lawama ni wanawake wenzao hapo ndipo naishia kucheka na kuna mibaba jasho linawatoka uko IG kisa Diamond na wanawake zake duh hakika kama misukule uyu kijana anayo mingi namshauri aanzishe na yeye kundi lake la FOREX mbona itakua kama chuo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamisa sio msanii, una mshusha kivipi? Kwa context gani ukilinganisha na diamond?

Naona kamaanisha ule uchafu aliofanya diamond kisingizio kisiwe hamisa bali huyo mond mwenyewe alaumiwe
 
Diamond anawajulia sana watu wake yaani anawazoa anaamua akawamwage wapi alafu kesho anaenda kuwazoa tena anawatupa sehemu nyingine na watu wake hawana shida.
Fuatilia yote yanayoendelea ila hakuna sehemu utasikia Diamond amekosea utaona wanalaumiwa wanawake tu tena wanaongoza lawama ni wanawake wenzao hapo ndipo naishia kucheka na kuna mibaba jasho linawatoka uko IG kisa Diamond na wanawake zake duh hakika kama misukule uyu kijana anayo mingi namshauri aanzishe na yeye kundi lake la FOREX mbona itakua kama chuo [emoji23][emoji23][emoji23]

Weeeee wambongo wa insta kwenye umbea kipaumbele ili kutuliza makali ya maisha ila wagusie hela watakukimbia unakumbuka wema sepetu na timu yake na lipstic zimemdodea mpaka wa leo ingawa ukijaribu kumsema wema watakuvamia kama mvua ya mawe ujute
 
pole Hamisa,kuanguka ni kujifunza,inasikitisha wanaomtukana wengi ni wanawake,mmmnh sad,nakushauri achana na social media fanya mambo yako privately,usiingie insta kama miezi mitatu mapoyoyo wanaokutukana watakua washampata mwingine wa kumtukana….wewe ni msichana mdogo sana,usikate tamaa….wa kwako yupo...believe it...
 
Juu ya Diamond's Dikii
[emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo kuna watu wamemshusha, ukifanya kazi si unatarajia mshahara, yeye alizani nirahisi kuvunja uhusiano wa mond?Kwani kabla ya Zari mond si alikwepo kwanini hakujihimarisha hapo? Akili kisoda
 
Pussy so hot angeachwa na majizoo babuu. Sema tu Diamond mwanaume hawezi kuwa hana gf halafu kuna free papuchi from Misa asiitumie haiwezekani kabisa. Hamisa nilikua nampenda ila kutumika kumkomesha Zari na mwanaume mwenyewe kamgeuka nimefurahi kama nini.
Alikuwa halijui hilo ndiyo kala wachuya kwa uvivu wa kuokota
 
Back
Top Bottom