Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Haya naona anaombewa michango eti ana hali mbaya kiuchumi aiseee ina maana tambo zote zile hakua anapewa pesa ya kutosha na dai

Mangenita huyo kapata njia ya kuingiza pesa.. kamaliza akaja kwa akaunti ya jina lake kujidai hatukani ka mtukufu eti kufunga n.k.

kumbe kutwa kudonoa na ile akaunti ingine juu ya Zari haswa watoto wake na yoteeee..

Ila Hamisa kweli anajua kutumika kijinga
 
Asilimia kubwa ya watukanaji huu ni mwezi wao hata humu lakini kutwa kumsema zari vibaya kutukana na kusengenya ni zao aisee wanashinda njaa tu
Mangenita huyo kapata njia ya kuingiza pesa.. kamaliza akaja kwa akaunti ya jina lake kujidai hatukani ka mtukufu eti kufunga n.k.

kumbe kutwa kudonoa na ile akaunti ingine juu ya Zari haswa watoto wake na yoteeee..

Ila Hamisa kweli anajua kutumika kijinga
 
Haya naona anaombewa michango eti ana hali mbaya kiuchumi aiseee ina maana tambo zote zile hakua anapewa pesa ya kutosha na dai
Kwahiyo hizo tambo zilikuwa za masikini jeuri, wakati analala njaa
 
Si alikua anasema sio kosa lake kuzaa na wanaume matajiri. Imekuaje tena mpaka michango
Wanaume matajiri, kwani huo utajiri si niwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Puchi so good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mama ake naye anatafuta huruma mitandaoni. Anasahau alivyokua anawapongeza team hamisa katika kumchamba zari.
Yani kweli malipo hapa hapa duniani akhera inaenda hesabu tu
Huyo mama nahitaji namba yke ananifaa kwa matumizi,anategemea mbunye wa mwanae kuishi
 
Back
Top Bottom