Mike Tyson ndani ya Hijja mola amjalie kheir

Walibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.
mnaanza kupindisha ukweli ...waliona ukweli upo wapi.....mnajifariji wenzenu wenye akili zao walishashtuka mapema....aliyebugi huwa anajirekebisha mbona wakiingia uislamu hawatoki kurudi dini zao za zamani
 
Ku-reason na mtu kama wewe ni sawa na kumpigia guitar mbuzi.
 
Walibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.

Casuius?? .. kweli we simple minded!!.. naona unaropoka tu kama taahira!
 
black americans wengi wanaamin kwamb wao n muslims in nature..
acheni kudanganyana nyinyi ingia kwenye page yake insta au fb ndipo mtajua tyson maisha yake hizi mambo za udaku udaku mnadanganyana sana black anerica ni christians pure
 
Nampongeza
hizi habari za udaku udaku huwa hatuziamini ukitaka now kupata habari mitandao imezagaa sana mcheki ista au fb uone sio true huyo jamaa mda mrefu wanadai muslim but juzi kati mwezi wa kwanza katika kipindi cha ellen tv alidai amefungua kanisa but kuna mtu kamuweka anahubiri usa na hata christmas yake aliisherekea mbaka unajiuliza huyu ndio wanayesema muslims?
 
Walibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.
true nilisoma historia ya huyo jamaa alidhan majina na din hiyo ni ya waafrica kumbe africa wengi ni wakristo by uchunguzi hata bara lenyewe linajidhihirisha wazi wazi na ndio maana watoto wa huyu mohamed ali woote ni wakristo mbaka mke wake
 
mnaanza kupindisha ukweli ...waliona ukweli upo wapi.....mnajifariji wenzenu wenye akili zao walishashtuka mapema....aliyebugi huwa anajirekebisha mbona wakiingia uislamu hawatoki kurudi dini zao za zamani
Cha ajabu ni watu maarufu duniani ndio wanaojitambua kuwa walipotea sasa wameiona kweli.
Nayo ni kumcha Allah kupitia mtume Muhammad saw.
Je upande huo wa pili kwa wasiojitambua ni nani maarufu duniani alieingia kutoka upande huu?
 
Back
Top Bottom