Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts, alikuwa na speed na uwezo wa kupiga ngumi 9 kwa sekunde 1.
Tyson ana kilo 100 na Bruce alikuwa na kilo 64
Bruce alikuwa na speed na technique kuliko tyson ila Tyson pia nayeye alikuwa na uwezo wa kushusha ngumi yenye kilo 450.
Hawa jamaa wangekutanishwa nani angekaa?