Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Bruce lee ni mchina au ni mmarekani?Rungu ni huyo mvuta ganja
China imetangazwa na bruce lee kwa asilimia kubwa
Anachokifanya tyson sidhani kama alikifikia hata nusu ya mohamed ali
Ila bruce lee mpaka leo record yake ni unbreakable na kila mtu katika martial arts ana ndoto za kuja kuwa kama yeye
Namkubali tyson ila sio kwa kumfananisha na bruce lee
Upo sahihi. Kalizaliwa California. Chinese Hospital, alikufa Hong Kong.Hivi Bruce lee ni mchina au ni mmarekani?
Huwa najua alizaliwa Marekani.
Mbona rekodi ya Bruce Lee hujaweka? Alipigana mapambano mangapi na alishinda mangapi?Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts, alikuwa na speed na uwezo wa kupiga ngumi 9 kwa sekunde 1.
Tyson ana kilo 100 na Bruce alikuwa na kilo 64
Bruce alikuwa na speed na technique kuliko tyson ila Tyson pia nayeye alikuwa na uwezo wa kushusha ngumi yenye kilo 450.
Hawa jamaa wangekutanishwa nani angekaa?
lakini Bruce usimchukulie poa nayeye inasemekana alikuwa na punch kama ya Muhamad Ali....Aliwahi kupiga teke zile sandbag yenye kilo 45 akapasua.
Halafu teke lenyewe ni lile la pembeni (Sidekick) ambalo ni teke dhaifu kuliko mateke yote.
Kumbuka Tyson hajui kutumia mateke
Bruce lee alizaliwa China, alienda Marekani akiwa mdogo na wazazi wake. Alirudi China akiwa mkubwa,Upo sahihi. Kalizaliwa California. Chinese Hospital, alikufa Hong Kong.
Ni Kachina kajamaa.
Na ngumi yenye kilo 450🤔Ngumi 9 kwa sekunde moja!!
Ngumi kg 450….ahahaNgumi 9 kwa sekunde moja!!
Side kick haina nguvu mkuu teke lenye nguvu ni axe,Bruce lee alizaliwa China, alienda Marekani akiwa mdogo na wazazi wake. Alirudi China akiwa mkubwa,
Side kick haina nguvu mkuu teke lenye nguvu ni axe,
Si muwe hata mnajifunza self defense kwenye vichochoro huko kuna watu sana idea aisee.
Hapana bro.Bruce lee alizaliwa China, alienda Marekani akiwa mdogo na wazazi wake. Alirudi China akiwa mkubwa,
Kwenye martial arts uzito doesn't matter.,Lakini mkuu weight ina mchango mkubwa sana kwenye ngumi...Hujawahi kuona mtu anaongoza kwenye daraja lake la uzito ila anapigwa na mtu wa mwisho kwenye daraja la uzito juu yake
Mkuu kwani wewe umewahi kijifunza hata jeet kon do, karate au tae kon do hata belt moja tu..!?Big NO
Aja kutana na Yoko Geri inayotokea kifuni huyuWee jamaa muongo sana.
Sidekick ndiyo teke strong bana acha kudanganya
Mkuu kwani wewe umewahi kijifunza hata jeet kon do, karate au tae kon do hata belt moja tu..!?
Mkuu kwani wewe umewahi kijifunza hata jeet kon do, karate au tae kon do hata belt moja tu..!?