Chai ya kirusi Hii[emoji28]Ngumi 9 kwa sekunde moja!!
Ilikuwa hatari sana.Ngumi nzito ikitua kunako kwisha habari.Bruce Lee atarusha ngumi nyingi sana
Lakin akipokea moja tu eneo lolote lile kutoka kwa mike Tyson. Onesho ndio litakua limefika mwisho
Refer Tyson vs don yen, ip man 3
Japokua ni movie lakini unaona kabisa how heavyweight destroy martial arts
Rungu ni huyo mvuta ganja😀 Nani rungu na nani missile launcher??
Lakini mkuu weight ina mchango mkubwa sana kwenye ngumi...Hujawahi kuona mtu anaongoza kwenye daraja lake la uzito ila anapigwa na mtu wa mwisho kwenye daraja la uzito juu yakeRungu ni huyo mvuta ganja
China imetangazwa na bruce lee kwa asilimia kubwa
Anachokifanya tyson sidhani kama alikifikia hata nusu ya mohamed ali
Ila bruce lee mpaka leo record yake ni unbreakable na kila mtu katika martial arts ana ndoto za kuja kuwa kama yeye
Namkubali tyson ila sio kwa kumfananisha na bruce lee
lakini Bruce usimchukulie poa nayeye inasemekana alikuwa na punch kama ya Muhamad Ali....Aliwahi kupiga teke zile sandbag yenye kilo 45 akapasua.Bruce Lee atarusha ngumi nyingi sana
Lakin akipokea moja tu eneo lolote lile kutoka kwa mike Tyson. Onesho ndio litakua limefika mwisho
Refer Tyson vs don yen, ip man 3
Japokua ni movie lakini unaona kabisa how heavyweight destroy martial arts
Mhh kilo 450🤔🤔Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts, alikuwa na speed na uwezo wa kupiga ngumi 9 kwa sekunde 1.
Tyson ana kilo 100 na Bruce alikuwa na kilo 64
Bruce alikuwa na speed na technique kuliko tyson ila Tyson pia nayeye alikuwa na uwezo wa kushusha ngumi yenye kilo 450.
Hawa jamaa wangekutanishwa nani angekaa?
Ngumi 9 kwa sekunde moja!!
Weight ina mchango kwenye ngumi zenye limitation za matumizi ya mikono pekee yakeLakini mkuu weight ina mchango mkubwa sana kwenye ngumi...Hujawahi kuona mtu anaongoza kwenye daraja lake la uzito ila anapigwa na mtu wa mwisho kwenye daraja la uzito juu yake