Mike Tyson Vs. Bruce Lee: Nani ni mbabe?

Kwanza, Boxing pia ni Martial Arts hilo lieleweke.

Pili, ni ngumu sana mtu wa boxing mwenye experience kupigwa na fighter mwenye experience ya martial arts aina zingine.
 
Hivi Bruce lee ni mchina au ni mmarekani?

Huwa najua alizaliwa Marekani.
 
Mbona rekodi ya Bruce Lee hujaweka? Alipigana mapambano mangapi na alishinda mangapi?
 

Wee jamaa muongo sana.
Sidekick ndiyo teke strong bana acha kudanganya
 
Upo sahihi. Kalizaliwa California. Chinese Hospital, alikufa Hong Kong.

Ni Kachina kajamaa.
Bruce lee alizaliwa China, alienda Marekani akiwa mdogo na wazazi wake. Alirudi China akiwa mkubwa,
 
Tyson namkubali sana lakini kwa Bruce Lee hapana ataishia kung'ata meno tu.Bruce Lee ni mkali.
 
Bruce lee alizaliwa China, alienda Marekani akiwa mdogo na wazazi wake. Alirudi China akiwa mkubwa,
Side kick haina nguvu mkuu teke lenye nguvu ni axe,
Si muwe hata mnajifunza self defense kwenye vichochoro huko kuna watu sana idea aisee.
 
Mwili wa bruce ukiuona ni mwili unaoweza vumilia pigo la uzito wengi huwajui hata mtu akiwa mwembamba ana uwezo wa kuvumilia pigo zito sababu ya ukomavu wake...
 
Lakini mkuu weight ina mchango mkubwa sana kwenye ngumi...Hujawahi kuona mtu anaongoza kwenye daraja lake la uzito ila anapigwa na mtu wa mwisho kwenye daraja la uzito juu yake
Kwenye martial arts uzito doesn't matter.,

Kama mtu anashika panga na anapigwa kama mtoto itakuwa ashinde pambano kwa uzito wake.?
 
Kwenye martial arts uzito doesn't matter.,

Kama mtu anashika panga na anapigwa kama mtoto itakuwa ashinde pambano kwa uzito wake.?
Kwahyo wanapoweka madaraja ya uzito (weight
class) Hawana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…