Mike Tyson was overrated

Mumar Ghadaffi had the same belief as u!
Even Karume. It matters not who has the same belief. It matters whether it us right.

Angalia Ali alivyokuja juwa zezeta jwa sababu ya masumbwi.

Barbaric.

We are celebrating barbarism.
 
Nilijaribu kupitia mapambano ya Ali YouTube leo asubuhi nilivyomaliza nikawaza kama ulivyowaza ww, nikasema Ali kapigana na watu manguli ile mbaya, Kuanzia Frazier, Foreman, N.k
 
Kila mtu ana prime time yake and he had his and we enjoyed it.

Let's forget him and move on to the next person.
 
Tyson is the living legend...huyu jamaa alikuwa anasifika kwa kumaliza pambano mapema mno..alikuwa na style yake moja inaitwa bull fighting...tyson was the best ktk kipnd chake...bondia overated labda unamuongelea floyd na sio mike iron
 
Boxing ina peak time kwa kila bondia, baada ya hapo unakuwa mdebwedo, hata Muhammad Ali past his prime alionekana wazi kuwa chini ya kiwango, mabondia wajanja kama kina Lewis na Mayweather walipong'amua kuwa their time was over wakaamua kustaafu.
ukiambiwa lete bondia unamleta lenox lewis!..bondia muoga kama kunguru,ukiachana na akina ali,hakuna kama tyson
 
we jamaa umeanza kufuatilia ngumi mwaka gan.We unadhani ngumi ni kama show za muziki unachagua tu wa kwenda kupafomu naye.vipi na ile medali ya junior olympics pia don king ndo alimchagulia wakupigana naye?.kama hujui ni bora ukauliza wanaojua
 
ukiambiwa lete bondia unamleta lenox lewis!..bondia muoga kama kunguru,ukiachana na akina ali,hakuna kama tyson

Yaweza kuwa ni muoga but Ana record ya kujivunia, one of the few boxers to have won against each opponent aliekutana nae. Na amewapiga mabondia bora kabisa Kama Tyson, Holyfield na Vital Klitschko. Je wewe ndugu ungeweza ingia nae ulingoni
 
Anaejua anajua tu.. Ukimtazama unajua huyu fundi, kushambulia, kuzuia n.k, sidhan kama tyson alikuwa bondia mdogo kama unavyofikiria, usifikirie kumlinganisha na Muhammad ali n wengineo, hilo kosa kila mtu na wakati wake.
 
Hapo umelonga mwanawane.. Hya kweli mapenz binafsi
 
That is neither here nor there.
heheheh ushaanza.turudi tu kwenye kiswahili maana hyo bahri siwezi ogelea.Ila kiukweli ule mchezo ni hatari.ndo maana maboksa wengi wanakuwa wanamawenge sababu ya zile ngumi.na matatizo ya kiafya pia.lakini hakuna anayelazimishwa kila mtu anaingia ulingoni kwa mapenzi yake .na pia pesa wanayopata ni nyingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…