Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
The Fabulous Four..... Sugar alikuwa vizuri ... boxer of the decade miaka ya 80's ..... RespekKuna mabondia kama Sugar Ray leonard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Fabulous Four..... Sugar alikuwa vizuri ... boxer of the decade miaka ya 80's ..... RespekKuna mabondia kama Sugar Ray leonard
Even Karume. It matters not who has the same belief. It matters whether it us right.Mumar Ghadaffi had the same belief as u!
Nilijaribu kupitia mapambano ya Ali YouTube leo asubuhi nilivyomaliza nikawaza kama ulivyowaza ww, nikasema Ali kapigana na watu manguli ile mbaya, Kuanzia Frazier, Foreman, N.kMike Tyson hakuwa bondia bora. Alikuwa overrated. Management ya Mike Tyson walikuwa wanamkutanisha na mabondia dhaifu . Kabla ya kumkutanisha na bondia yoyote, management ya Mike Tyson ikiongozwa na Promoter wake Don King, chini ya jopo la wataalamu walio bobea katika mchezo wa boxing, walihakikisha kwanza wanajiridhisha pasi na shaka yoyote ile kwamba Mike Tyson atampiga bondia watakae mkutanisha nae. Ndio maana kwa kipindi kirefu sana management ya Mike Tyson ilikuwa inafanya kila namna, kuhakikisha bondia wao, hakutani na mabondia wakali kama Evander Holyfield, Lennox Lewis etc.
Unaweza kuona Mike alianza kupewa vipigo mfululizo tangu atemane na uongozi wake. Ukimuita Mike Tyson bingwa " Joe Frazier" George Foreman utawaita nani ? Jaribu kutafuta cd za mapambano ya watu kama George Foreman, Joe Frazier & Muhammad Ali, uone mabondia wa ukweli.
R.I.P Muhammad Ali
ukiambiwa lete bondia unamleta lenox lewis!..bondia muoga kama kunguru,ukiachana na akina ali,hakuna kama tysonBoxing ina peak time kwa kila bondia, baada ya hapo unakuwa mdebwedo, hata Muhammad Ali past his prime alionekana wazi kuwa chini ya kiwango, mabondia wajanja kama kina Lewis na Mayweather walipong'amua kuwa their time was over wakaamua kustaafu.
ukiambiwa lete bondia unamleta lenox lewis!..bondia muoga kama kunguru,ukiachana na akina ali,hakuna kama tyson
if it aint dangerous then it aint no funBoxing is barbaric.
That is neither here nor there.if it aint dangerous then it aint no fun
Hapo umelonga mwanawane.. Hya kweli mapenz binafsiMkuu nahisi unamapenzi binafsi huyu mike 'iron' Tyson awe overrated kweli???
Kumbuka Tyson ndiyo ingawa pekee akiwa mdogo miaka 21 (kama niko sahihi kwa umri)akimpiga Trevor ambayo ndiye mtu wa mwisho kumpiga Muhammad Ali .... Tyson huyu huyu ndiyo mtu pekee ambaye anarekodi ya kushikilia mikanda mitatu ya juu kwa wakati mmoja akiwa mdogo...
heheheh ushaanza.turudi tu kwenye kiswahili maana hyo bahri siwezi ogelea.Ila kiukweli ule mchezo ni hatari.ndo maana maboksa wengi wanakuwa wanamawenge sababu ya zile ngumi.na matatizo ya kiafya pia.lakini hakuna anayelazimishwa kila mtu anaingia ulingoni kwa mapenzi yake .na pia pesa wanayopata ni nyingi mno.That is neither here nor there.
Basi endeleeni na mjadala manake ndo swali ambalo nilitaka kuuliza!Kwa hiyo hata mikanda ya dunia (wbc na wba) aliipata kwa mabondia mdebwedo?