Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aston villa kaondoka na mikeka yangu 3.
Kuanzia leo tot simfati tenaa kwa lolote.
Maana ni mechi ya 4 ananichania

3 goal in row kachana
Injury time kachana
+assist kachana.

Hafahiii
 
Back
Top Bottom