Manoti nataka niweke nyumba hapa hahaLincoln City win
Stoke City win
Derby win
Leeds win
Man United win
Leipzig win
PFC CSKA Sofia win
Kaizer Chief win
CSKA Moscow win
BSC Young Boys win..
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo 1000 naona wametoa ofa baada ya kujifanya unaleta mabadiliko lakin wamearibu kitu kinafunguka kwa tabu kwenye apps ndo bure kabisaaaisee premierbet mi sjawaelewa kabisa nikifngua website yao naona 1000 tsh kwa juu nkitafta timu ili nibet sizipat kwa mfano basketball inazunguka tu nkijarb hata jackport ndo kabisa hayafunguki
in short wanabore aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii toka saa 3 àbhJamani ndugu zangu wenye kuelewa mchezo Wa tennis kuna timu neibetia tangu hasbuhi sa 12 ilikua kwenye mechi za live betpawa nikaweka kamtaj kote duu mpaka saiz sa5 usiku iyo mechi iko vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii toka saa 3 àbh
Sijui kunani?View attachment 1057654
Nimei google
Mkuu sijui simu yangu kimeo au vp
Probably simu yako inazinguaMkuu sijui simu yangu kimeo au vp
Sioni kabisa hizi screen shot unazotuma
Niki zoom naona mapicha picha tu
Nimezi save kwenye gallery, huko zinaonekana vizuriProbably simu yako inazingua
sawa sawaNimezi save kwenye gallery, huko zinaonekana vizuri
App ya jf inazingua
Saiz inaendelea Jamaa yangu alikua kapigwa kachomoa ni moja moja ngoja nilale niaje kufa na presha mimi