Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitaka kujua betting ni ngumu hebu fikiria kabla ya game kumuua Muua kibonde Man U odd 3 saafi kisha tia mzigo uone kama nafsi yako itakukubalia 😂😂😂😂
 
Inaitwa kufa kisabuni waswahili wanasema
 
Wameanza mapema sana kufungafunga wasije wakakesha na magoli mpaka dk 90 kagoli kamoja barca,inter tayari huko
 
Ukitaka kujua betting ni ngumu hebu fikiria kabla ya game kumuua Muua kibonde Man U odd 3 saafi kisha tia mzigo uone kama nafsi yako itakukubalia 😂😂😂😂
Kashafungwa huko😁😁
 
Back
Top Bottom