Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basi Kama wewe unabet direct Winn endelea maana mm Kuna mtu kaniomba USHAURI ndo nlikuwa Nampa kutoka na pesa anayotaka kuweka ili isipotee pesa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hakuomba ushauri ww ndio umetolea macho elf 50 yake, wkt watu hustake hadi laki tatu humu cha msingi nlichoona kwenye ushauri wako ni apunguze wimgi wa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ubishi tunaelekezana tu nyumba moja haina haja yakugombani fito

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kwa uzoefu wangu naamini ili uwe mjasiliamali wa betting na sio mcheza kamali lazima uwe na strategies na mtaji

Sasa strategy kila mtu ana za kwake kulingana na uzoefu wake na instinct yake inavyo muongoza .
 
Sawa kabsaa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa tupo kwaajili ya Vita mkuu. Tunampiga Vita kanjbay hvyo hatuna haja ya kugombana Wala kubishana Ni swala la kuelekezana Mimi na moja, mwingine anakuja na yake, tukiunganisha wote tutashinda Vita dhidi ya kanjbay kwa maana hakika mtu mmoja mmoja hatumuwezi kanj lazma tuwe wamoja na kushikana mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…