Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Safi sana
Sema hapo kwenye kuwithdraw drawa 1xbet dadeq
Utapiga picha hadi na kadi yako ya kliniki
Fiorentina nyambafu zake, kaniharibia siku.Fiorentina anaenda na kijiji.................
Na odd zake zimepaa
Mtafute jamaa anaitwa Internal atakusaidiamsaada wadau naomba mniunganishe na mtu atakayeweza kunisaidia line ya safarcom ili niitumie kwenye 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
odds za arsenal zinatamanisha sana sijuie nizifuate kwa 15kNa odd zake zimepaa
Hii bank utaratibu na garama za kutuma au kutoa zikojeA
Mbona anatoa daily boss anatumia bank ya UBA
Malayaa sana jamaa yuleee...Fiorentina anaenda na kijiji.................
TAX (20%)ππππ± kampuni za tax free mkuu hujaziona?NIMEAMUA LITAKALOTOKEA NA LITOKEE!View attachment 1065069
Hawa UBA watakua wanafanya ubabeA
Mbona anatoa daily boss anatumia bank ya UBA
Supersets watamu sema nao wana kodi 20%TAX (20%)[emoji13][emoji13][emoji13][emoji33] kampuni za tax free mkuu hujaziona?
Mfano kipindi wanatoa mobile payment kwa bongo waliokua na hela huko walizitoajeHawa UBA watakua wanafanya ubabe
Bank kuu imepiga marufuku upokeaji wa pesa toka makampuni ya kamari ambayo hayajasajiliwa Tanzania
Ndio maana unaona Bank zingine mzigo unagoma kuingia na mitandao ya simu imetoa options zake kwa makampuni yasio na usajili tz
Hata hizi njia zingine tunatumia sio rasmi ipo siku zitakuja fungwa ghafla na hatuna pakulalamikia
Ebu nijulishe mkuu maana sisi watu wa mkoani huku huwa tunabase kwenye sehemu moja tu,,,,,ebu nitajie hasa za hapa nyumabi kama zipo!....lakini sio 1xbet hiyo sitaki hata kusikia!TAX (20%)ππππ± kampuni za tax free mkuu hujaziona?
Hazikutoka tena ziliishia huko hukoMfano kipindi wanatoa mobile payment kwa bongo waliokua na hela huko walizitoaje
Sent using Jamii Forums mobile app