Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ebu nijulishe mkuu maana sisi watu wa mkoani huku huwa tunabase kwenye sehemu moja tu,,,,,ebu nitajie hasa za hapa nyumabi kama zipo!....lakini sio 1xbet hiyo sitaki hata kusikia!
Betpawa na PMBET
 
Kikapu kinalipa sema ukibeti chini ya timu 6 ndo utaenjoy. Hasa upande wa home kuchomoa ni mara chache sana





hawa maboya wa emporio walaaniwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…