huu kuna mdau aliomba pre-match nikausuk nikaweka na code, issue ilkua kuuchukua km ulvokua then unawait kudownload mpunga tuHakika bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, huu mkeka niliuona nikaukacha, niliyoikimbilia imesepa mtaji wangu wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Bank nyingi tu international zinafanya kaziHawa UBA watakua wanafanya ubabe
Bank kuu imepiga marufuku upokeaji wa pesa toka makampuni ya kamari ambayo hayajasajiliwa Tanzania
Ndio maana unaona Bank zingine mzigo unagoma kuingia na mitandao ya simu imetoa options zake kwa makampuni yasio na usajili tz
Hata hizi njia zingine tunatumia sio rasmi ipo siku zitakuja fungwa ghafla na hatuna pakulalamikia
Namfuata kwa laki liwalo na liwe....!!Odds ya PSG inatamanisha...
Hii ndio inanifanya nascrach kuwapa direct win PSG.Anaweza kutoa japo naona kama wachezaji wake wengi wazuri hawapo
Mimi natumia hii kadi UBA na iko poa, sema unapoweka pesa 1xbet wanakata shs 7,000. Yaani kila muamala unaofanya kuanzia 1000 - Milioni kadhaa. Kutoa unatoa poa tu haina shida.Bank nyingi tu international zinafanya kazi
Crdb kuna mdau anatumia na inakubali lakini pia banc abc local bank ndio tatizo
Hii imekua team ya ovyo sana, u can't imagine wanacheza dhidi ya team ina watu pungufu tokea dk ya 30, ajabu Napoli wao walikua wnaongoza Genoa wakiwa pungufu wame equalize
Hiyo kadi unaipataje mkuuMimi natumia hii kadi UBA na iko poa, sema unapoweka pesa 1xbet wanakata shs 7,000. Yaani kila muamala unaofanya kuanzia 1000 - Milioni kadhaa. Kutoa unatoa poa tu haina shida. View attachment 1065443
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1308]
Sent using Jamii Forums mobile app
direct win n hatare kwa afya ya betting