Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Multcorner ndo ikoje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndomana nasema hakuna club inaweza risk huu mchezo
Kwa hela gani watalipwa hadi warisk kila kitu
Hao red star walibainika au ilikua tuhuma?
Waulize juve watakwambia
Mnaposhindwa kuelewana ni hapa, kuna time wanao fix hizi game ni hizi kampuni za gambling zenyewe na sio watu binafsi yaani hivi:

Mfano Juzi dunia nzima ilijiaminisha kua PSG atashinda, so 95% watakaobet hii game duniani watampa PSG ashinde hivyo basi kampuni inaweza tangaza share ya mgao kwa PSG ili PSG wapoteza na wapate mgao maana wengi wataliwa coz watampa PSG.

Binafsi naamini fixed ipo ila sio hizo mnazouziana mitandaoni....Guys uo ni uongo na wizi tu wa mitandaoni, we jiulize uyo anayekuuzia kwanini asi stake yeye pesa ndefu au mali zote zake na ukoo wake na akamla Khanji kimya kimya na kutunza privacy ili asistukiwe kuzipata fixed
 


Siku yangu imeenda poa sana kwenye LIVE Games, next time nitakuwa nashare Tips kama hizi.
 
Staki kuamini kama kweli upo serious unaamini makampuni ya kamari yana honga timu zipindue matokeo wapige hela kwa minajili ya mgao
Dunia ya leo kweli upuuzi huu unaweza kufanyika na wenye soka lao wanaangalia tu....kwa siri ipi?
Mpira ni biashara kubwa haiwezi kuharibiwa kizembe kiasi hicho mkuu kwa dunia yetu ya leo, kampuni ihongo timu?
Kwa psg hafungiki jamani

Ndio maana mayu anawaambia jifunzeni kwanza mgao wa odd na mwisho wa kustake na kiwango cha mwisho cha kulipwa

Fixed huwa zinatokea kwa watu kununua game na hata hivyo hushtukiwa mapema sana na game huondolewa haraka hata kama ulikia umebet

Tatizo tunadanganyana utabet nyumba, haiwezekani sababu kuna kiwango cha mwisho kustake na kuna kiwango cha juu cha mwisho kuwin
Huwezi eti kustake tu bilioni moja.. haipo hiyo kipo kiwango
Single kiwango chake ni chachini zaidi kuliko kuweka mkeka, wana maana yao katika hilo
Na game ikiwa fixed jamaa ni rahisi kugundua na wanaipiga pini pale pale
Jiulize wewe hapo upate uhakika kaka yako kanunua game ya yanga dhidi ya ruvu lazima utataka kustake kiwango cha mwisho kabisa hapo ndipo itakapo shtukiwa kwamba kuna bet isio ya kawaida wana block fasta woteee
 
Hii Mechi ya Spurs vs City naona Ngumu sana kutabiri aisee nyie mnaonaje wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…