Hivyo nikajua inaanzia kumi
Mzee baba umerudi kwa mrusi? Maana zile hasira za kung'ang'ania hela yako nikajua jamaa umewatosa kimoja.
Aisee uliinunua mahali au???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimemla mambo ya fixed
Najaribu hii njia mpya ya kaburu ( MYBUX) wa afrika ya kusini sijui na yenyewe kama itazingua!!!! ijapokuwa sijapata ushuhuda wa aliyeweza kutoa kwa njia hii. Kuweka ndio inawezekana sasa ukishashinda ndio unaingia level nyingine ya kuhangaika kutoaMzee baba umerudi kwa mrusi? Maana zile hasira za kung'ang'ania hela yako nikajua jamaa umewatosa kimoja.
Yale Matakataka ya baseball siyaoni tena daah..
Aisee uliinunua mahali au???
Duuh wapi huko na Sh ngapi????Yes boss nangojea saa 11 kama watacomfirm kama kutakuwa na mzigo mwingine
Jamaa flani wa uturuki dola 43Duuh wapi huko na Sh ngapi????
Duuh wapi huko na Sh ngapi????
hata mimi nimejaribu kumvizia lakini wapi...ngoja tusubiri inplayMhindi tangia Jana anasita kumkadiria simba odds zake. [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1088796
ukichagua 2dnb maana yake wa away ashinde wakitoa draw unarudishia mzigo wakoDraw no bet inakuwaje?
zilete kuna 15k haina kazi hapaIn play nakuja na odds 3 sasa ivi, mshindwe wenyewe