Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

RB Leipzig v Bayern Munich
Each team will have At least 1 corner in each Half
Odds 1.5
 
Ishatolewa kikubwa watu wasiwe wavivu kusoma post/comment za juu kabla kuandika
Mkuu kuna watu wavivu kweli kujiongeza

Utakuta mtu anauliza unadeposit vipi betpawa
Asipojibiwa anakua mkali na kulalama ina maana hamna watumiaji humu au mnanichunia?

Wakati ukiingia tu betpawa nenokubwa linaloonekana ni deposit, na kila kitu kipo pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…