Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila we mtu unakera na mataka taka yako
Yamekua mengi mno mkuu
 
Mkuu nipo namfukuza mwizi kimya kimya sasa hivi
Jukwaa limeharibiwa na wauza odd akina Pdidy
Mkuu uwe unatupia kiaina
Kama vp tupia ya kulalia leo nimeliwa sana angalau nirudishe mtaji
 
Mkuu uwe unatupia kiaina
Kama vp tupia ya kulalia leo nimeliwa sana angalau nirudishe mtaji
Mkuu mida imeenda hakuna game za kueleweka

Mi mwenyewe nimetega hapa naona akina mbwana wanakata mauno tu
Watanichania mkeka wangu
 
Katokea msenge mmoja anaitwa molde fk alikuw anaongoz mbili bila. Dah saiv si ningekuwa dunia yangu. Ila ipo siku kanji ntakufany vibaya. Ila na me nimsenge tu kwann nimeweka team zote mkeke mmoja
 
Psv mungu anakuona, nlimkataa ajax nikakupa wew umeend kufany umalaya. Ila nawew ukome ligi umekosa, dah unanifany ad nitembee naongea peke ang maan kanj........
 
Dah basketball kil siku inanip hela leo nikastak figo kaja malaya mmoja kazngua dakik za mwish me nlikuw shapig na hesabu
 
Premier bet tangu jana wanakosesha kwenye baadhi ya mechi na kukosesha watu wakati hali halisi siyo. Hapo nilicheza over 152 tena including overtime. Majibu yalikuwa zaidi ya hiyo ila waliandika loss. Na leo imejirudia tena wameunguza mkeka wakati sii kweli
 
Nina nyota mbovu au ni gundu? Maan mikeka ya kula et naend kustak kaela ka mboga, dah sema sio mbay ila nakuahaid kanji kesh nitakutend ni mwendo wa team mbili nawek figo team mbili nyingne nawek ini team mbili nyingne nawek moyo
 
Naona kama team ya nyumban umeitolea vikap 40- au we unaelewaje?
 
Naona kama team ya nyumban umeitolea vikap 40- au we unaelewaje?
Sijui imetokea wapi hiyo maana mimi hucheza tuu over na under sijawahi kuona hicho kitu, nimeanza kushuhudia tangu jana na leo naona kuna tatizo
 
Kuna hii nyingine wamenirarulia leo lilikuwa naifuatilia kwenye live score mbalimbali nikahakikisha imevuka lakini wamepiga nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…