Ulitatua vipi hill swala naona nami limenikuta Leo kwenye ice hockeyKuna hii nyingine wamenirarulia leo lilikuwa naifuatilia kwenye live score mbalimbali nikahakikisha imevuka lakini wamepiga nyekunduView attachment 1099891
1xbet kwenye ios ishakua msala sasa. we cant access the app. labda ubet kwa website.
Me bhona kwang ipo fresh2
Niliachana nalo maana mwishowe kweny mkeka kuna nyingine iliharibuUlitatua vipi hill swala naona nami limenikuta Leo kwenye ice hockey
Niliachana nalo maana mwishowe kweny mkeka kuna nyingine iliharibu
Vipi upepo wa hockey unasomeka? maana katika mamichezo ya ajabu ni hockey na baseball ukichagua under yanatoa over, ukichagua over yanatoa under, nilikuwa nimeweka kambi kidogo kwenye basketball angalau baadaya wiki mbili waweza kubahatisha hata siku moja na zile kosa za kuleta matumaini nazo hazikosekaniUlitatua vipi hill swala naona nami limenikuta Leo kwenye ice hockey
KAMA.UMEIDHARAUI CASHOUT
MmmmmhhhhHuu mkeka ni WA ice hockey niliweka over 4.5 na over 5.5 Kama inavyo onekana hapo je ni kwann zinaonekana lost wakat magole yametoa over kama nilivyo tabiri? Au sharia zipoje hapo..
View attachment 1100774
Baada ya hapo napenda kuwasalimu habarini za Siku nyingi;
Unasomeka kwa over hasa over 4.5 odds 2 zatosha kwa siku.Vipi upepo wa hockey unasomeka? maana katika mamichezo ya ajabu ni hockey na baseball ukichagua under yanatoa over, ukichagua over yanatoa under, nilikuwa nimeweka kambi kidogo kwenye basketball angalau baadaya wiki mbili waweza kubahatisha hata siku moja na zile kosa za kuleta matumaini nazo hazikosekani