1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
Mkuu nicheki Hapa 0719957092 WhatsApp tuyajenge.Ukijiunga ni PM nitakuwa nakupa tips za live ila tamaa tu isiwepo ni Tip moja moja hakuna kuzidisha.
Nicheki WhatsAppAnko niadd na Mimi asee
Hapana situmii WhatsApp mkuu..Mkuu nicheki Hapa 0719957092 WhatsApp tuyajenge.
Poa poa mzeeNicheki WhatsApp 0719957092 nitakuadd kwa group la live basketball. Uangalie tunavomliza.
Basi sawa.Hapana situmii WhatsApp mkuu..
Nicheki WhatsApp 0738688120 tuzungmzeNiko mwanza tuwasiliane
Njoo pmNicheki WhatsApp 0738688120 tuzungmze
Anaejua correct score ni Mungu pekee,wengine ni wezi kama wezi wengine mtaani.Wadau wa kubet habarini za mchana:
naonaga watu kwenye page nyingi wanasema wanauza correct score(fixed match) ,huwa zinatoa kweli au ni matapeli tu??.
Naona watu wanajinadi sana wanauza correct score ,, ndio maana natamani kujua wanatoa odd za ukweli au matapeli??Anaejua correct score ni Mungu pekee,wengine ni wezi kama wezi wengine mtaani.
Zipo na ni very rare mkuu..Wadau wa kubet habarini za mchana:
naonaga watu kwenye page nyingi wanasema wanauza correct score(fixed match) ,huwa zinatoa kweli au ni matapeli tu??.
Sasa hawa wanaopost kila wiki si matapeli tu wa batting.Zipo na ni very rare mkuu..
Hua ni fixed game tna hua ni viligi vdgo hukko.
Maana ikigundulika ni bonge la msala..
Na ubaya wa hii kitu hua wanapost kara nyingi kupotezesha maboya na ushahidi.
Kumjua nani kweli au la ni ngumu,but darkwebb kule mwaka juzi kulkua na jamaa anauza,kwa mwaka hata mara 6 tu..
[emoji23][emoji23] ao matapeli ndio mkuu..Sasa hawa wanaopost kila wiki si matapeli tu wa batting.
Hizi hapaWrite your reply... SIKU MBILI HIZI MUHINDI KANIPIGA SANA, NIPENI MECHI ZA LEO 5 ZA UHAKIKA NIPATE HATA 20K
Poaa hapa nimekuelewaaa.[emoji23][emoji23] ao matapeli ndio mkuu..
Maana kuandaa fixed match sio jambo dogo hta kama ni ligi kama ndondo cup
Tatizo watu wanakimbilia kutafuta odds wanazoona ni nyepesi bila kufanya upembuzi yakinifu... Pitia historia ya timu zote znazocheza tafuta habari kujua zipo msimamo gani.. Kisha rudi kwa bookmaker angalia unaweza kubetia option gani kutokana na upembuzi wako.. Ukifanya hivo utakula mara nyingi na utakosa marachache... Tumia muda kufanya upembuzi.. Option za kubetia zipo tuuu... Ni wewe kujikaanga tu na mafta yako.Unaweka tips zipi mkuu