Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Junior servan(armenia) win
Stroemsgodset 2 win(Norway)
Newroz (Serbia)
win
Dundalk win
Alashkert fc II (Armenia) win
Arema (Indonesia) win
Derry city win
Uruguayu20
Yule anayesema wanaokula wanakuje jisavie kesho leta mrejesho
 
Usije uka kaa ukaamini Boko Anauwezo Mkubwa Kimpira kuliko Messi ....kwa kushinda bao 3 kwa Sevilla...mzee utaumia wale walikuja tembea Tz ......
ahahah wewe jamaa bhana umenikosha kwa jibu lako
 
Wakuu kuna huyu jamaa anajiita Rostema naye ni tapeli sana , kuweni makini naye
Anadanganya watu kuwa anauza odds kumbe yuko na app fulani kaiokota huko play store , anachofanya nikwamba mwenye app akipost games naye anatuma kwa group na kuwaambia watu walipie . na sio sure odds , watu wanapasuka vibaya mno ,
Halafu analalamika kuwa mbona tunanunua odds kwa Pdidy inakuaje yeye akitaka kutuuzia tunakataa,

Mpuuzeni kabisa maana ni tapeli kama matapeli wengine ,

Hawa wakenya sijui wanafeli wapi alooo,
Wanaonaga watu wote ni idiot
 
kununua odd ni upungufu wa akili na uvivu uliopitiliza,

yani unapigwa mara mbili mbili..

kama unashindwa katafuta mechi 3-5 kwa siku mwenyewe si bora hiyo pesa ununue vocha..

msilalamike bila sababu kwa usababu unajua hakuna sure bet wangekuwa nazo si tayar wangekuwa mabilionea...
 
Nyie ndiyo wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…