Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Big UP Chief ... nataka niongeze mtaji hadi 500K niwe naokota timu 2 ktk mikeka yako.
Kama meridian inazingua cheki kule PM bet pia ile option wanayo..labda mchawi awe kodi.
 
Huyu anaweza akawa Pdidy
Ushauri; Mkuu BASIASI, na uhakika ungekuwa kila siku unapost mikeka mitatu au miwili ya uhakika kwa uwezo ulio kuwa nawo tungepunguza sana hizi lost, ila hizo vurugu zako kuzifuata zote inakuwa ngumu sana.
BigUp mr. opulence
 
Mkuu tangu nianze kukufuata angalau napata alama za kijani, utabaki mawinguniii [emoji109]
 
Ndio inafanyikaje
Ingia GAL SPORT nenda kwe withdraw ukishaandika kiasi na kukubali watakutumia CODE kwenye email yako, then nenda kabonyeze simu yako bonyeza *148*53# itakuja menu ya GAL sport kuna sehemu utajaza ile code waliyokutumia, basi mpunga faster kwe simu unaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…